Klabu ya Tanzania Prisons imekamilisha usajili wa mshambuliji zamani wa Vilabu vya Mtibwa Sugar, Singida Big Stars na Namungo Kelvin Sabato Kongwe 'Kiduku'
Kiduku ni usajili wao wa kwanza kufanyika na Tanzania Prisons tangu kocha wao mpya Amani Josiah atambulishwe kikosini hapo
Josiah alijiunga na Prisons akitokea klabu ya Geita Gold inayoshiriki ligi ya Championship.



