Nyota wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa, ataungana na magwiji wengine wawili katika droo ya fainali za CHAN2024 itakayofanyika nchini Kenya Jumatano ya Januari 15
Wachezaji hao wa zamani wa soka ni Hassan Wasswa kutoka Uganda na Mkenya McDonald Mariga ambao wataungana na Mrisho Ngasa kutoka Tanzania
Droo hiyo itakayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta,..... download Xtra 90 App



