Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Ngasa, Mariga, Waswa kuendesha droo ya CHAN

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Jan 2025
Ngasa, Mariga, Waswa kuendesha droo ya CHAN

Nyota wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa, ataungana na magwiji wengine wawili katika droo ya fainali za CHAN2024 itakayofanyika nchini Kenya Jumatano ya Januari 15

Wachezaji hao wa zamani wa soka ni Hassan Wasswa kutoka Uganda na Mkenya McDonald Mariga ambao wataungana na Mrisho Ngasa kutoka Tanzania

Droo hiyo itakayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta, Nairobi Kenya, Jumatano saa 2:00 usiku

Michuano ya CHAN 2024 itaanza kutimua vumbi Februari 1, na kuhitimishwa Februari 28, 2025, katika mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania.

Droo hiyo itaruka LIVE AzamSports1HD kuanzia saa 2:00 usiku

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’