Klabu ya Simba imethibitisha adhabu kutoka kwa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ambapo imezuiwa kuingiza mashabiki katika mchezo ujao wa kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine ambao utapigwa Jumapili, Januari 19 uwanja wa Benjamin Mkapa
..... download Xtra 90 App



