Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Ligi Kuu NBC kurejea mapema

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Jan 2025
Ligi Kuu NBC kurejea mapema

Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) kusogeza mbele michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani, wakati wowote Bodi ya Ligi (TPLB) itatangaza kuendelea kwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC

Ligi hiyo ilisimamishwa kwa takribani miezi miwili kupisha michuano kombe la Mapinduzi pamoja na michuano hiyo ya CHAN

Msemaji wa Bodi wa Ligi Karim Boimanda amesema wamepokea taarifa ya kusogezwa mbele kwa michuano ya CHAN ambayo sasa itafanyika August 2025 hivyo wanatarajia kutangaza kuendelea kwa ratiba ya ligi kuu

"Taarifa ya CAF kuhusu kusogezwa mbele kwa michuano ya CHAN tumeipokea ambapo michuano hiyo sasa itafanyika August 2025 badala ya Februari kama ilivyopangwa awali"

"CHAN ni moja ya mashindano yaliyopelekea kusimama kwa ligi yetu hivyo kusogezwa mbele inaamisha ratiba yetu ya ligi na mashindano mengine ya ndani inaweza kuendelea, sasaΒ  tusubiri taarifa ya Bodi", alisema Boimanda

Bodi ya Ligi imetoa taarifa kuwa ligi itarejea mwanzoni mwa February 2025 ambapo mechi za viporo Yanga dhidi ya Kagera Sugar na Tabora United dhidi ya Simba zitapigwa

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’