Klabu ya Simba leo imeingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi kombe la Shirikisho (CAF CC) dhidi ya CS Constantine ambao utapigwa Jumapili Januari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Akizungumza katika Mkutano na wanahabari mapema leo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali alisema wamepania kushinda mchezo dhidi ya CS Constantine ili..... download Xtra 90 App



