Local,Transfer News,Singida

Singida Black Stars yavuta winga Al Hilal

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Jan 2025
Singida Black Stars yavuta winga Al Hilal

Klabu ya Singida Black Stars jana ilifunga dirisha dogo la usajili kibabe kwa kuinasa saini ya winga raia wa Ivory Coast Serge Pokou

Pokou ametua Singida BS akitokea Al Hilal ya Sudan ambayo inashiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ikitinga robo fainali ikiongoza kundi A ambalo imo klabu ya Yanga

Pokou aliitumikia Al Hilal katika mchezo dhidi ya Yanga uliopigwa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Mauritania na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Nyota huyo amewahi kuhusishwa na klabu za Simba na Yanga lakini hatimaye ni Singida BS iliyofanikiwa kumsajili

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’