Arajiga apewa mechi ya RS Berkane

Joel JJ By Joel JJ β€’ 16th January 2025


Arajiga apewa mechi ya RS Berkane

Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Mohamed Mkono, Kassim Mpanga na Nasir Salum wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kati ya RS Berkane (Morocco) dhidi ya Stellenbosch FC (Afrika Kusini) utakaochezwa Uwanja wa Berkane Januari 19, 2025

Arajiga atakuwa mwamuzi wa kati akisaidiwa na Mkono na Mpanga huku Nasir akiwa mwamuzi wa akiba

Arajiga ameendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania upande wa waamuzi kwani ameendelea kuaminiwa na CAF kwa kupewa mechi kubwa ngazi ya klabu na timu za Taifa


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.