Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic amesema hakuna matokeo mengine ambayo yatakuwa na maana kwao zaidi ya ushindi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Akizungumza katika Mkutano na wanahabari mapema leo, Ramovic alisema ameandaa mkakati maalum wa kimbinu kuikabili MC Alger katika mchezo ambao ushindi ni matokeo ya..... download Xtra 90 App



