Safari ya Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu imefika tamati leo baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya MC Alger katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga ilihitaji kushinda leo ili kufuzu robo fainali lakini jitihada ndani ya dakika 90 hazikutosha kuwapa Wananchi alama zote tatu
MC Alger walijilinda vyema huku mbinu yao ya kupoteza muda..... download Xtra 90 App



