Local,Normal News,KenGold

KenGold kutambulisha kikosi kipya

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jan 2025
KenGold kutambulisha kikosi kipya

Klabuu ya KenGold, Jumatano Januari 29 itafanya Tamasha la MAKARASHA DAY mkoani Mbeya ili kutambulisha wachezaji na benchi la ufundi katika uwanja wa Sokoine

Baada ya kufanya usajili mkubwa katika dirisha dogo lililofungwa Januari 15, timu hiyo imepania kujinusuru na kuteremka daraja wakianza na tukio hilo kama sehemu ya hamasa kuelekea mechi za duru ya pili zinazoanza Februari 2025

KenGold ilisajili takribani wachezaji 22 katika dirisha dogo huku pia ikileta kocha mpya Vladislav Heric raia wa Serbia

KenGold inaburuza mkiani ligi kuu ya NBC ikiwa na alama 6 na kusalia na mechi 14

Watahitaji kushinda angalau mechi 10 ili kuwa na nafasi ya kunusurika kushika daraja au kucheza play-off

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
30m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’