Chelsea wanafikiria kumsajili winga wa Argentina Alejandro Garnacho, 20, baada ya Napoli kusitisha mpango wa kusajilia mchezaji huyo wa Manchester United. (Sky Sports)
Manchester City inavutiwa na beki wa Italia Andrea Cambiaso, 24, lakini Juventus inataka euro milioni 65. (Gazzetta dello Sport - kwa Kiitaliano)
Borussia Dortmund wamejiondoa katika kinyang'anyiro cha kumsajili..... download Xtra 90 App



