Klabu ya Simba imewaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake 9 wa kigeni ambao hawaitwi katika timu zao za Taifa, imefahamika
Hatua imekuja siku chache baada ya klabu ya Singida Black Stars kufanikisha kupata uraia wa Tanzania kwa wachezaji wao wanne, Emmanuel Keyekeh (27) kutoka Ghana, Arthur Bada (22) kutoka Ivory Coast, Amas Obasogie (22) kutoka Nigeria na Damaro Camara (21) kutoka..... download Xtra 90 App



