Bado Klabu ya Pamba Jiji inaumiza kichwa namna ya kumalizana na mshambuliaji, Mghana Erick Okutu ambaye mwanzo ilielezwa angejiunga na KenGold dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15, mwaka huu, lakini imeshindikana
Wakati ishu ya Okutu ikiwa pasua kichwa, klabu hiyo imeachana na nyota sita kipindi cha dirisha dogo
Inaelezwa kambi ya Okutu haikukubaliana na uamuzi wa mteja..... download Xtra 90 App



