Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', itajua wapinzani wake itakaokutana nao wakati droo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), itakapofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mohammed V uliopo Rabat jijini Morocco
Stars ni kati ya timu 24 zitakazoshiriki michuano hiyo itakayoanza kutimua vumbi Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18 mwakani, ikiwa ni AFCON..... download Xtra 90 App



