Droo ya michuano ya Afcon 2025 imefanyika Morocco jana ambapo Tanzania imeangukia kundi C. Katika kundi hilo pia zimo Uganda, Tunisia na Nigeria
Ni timu mbili tu ambazo zitasonga mbele raundi ya 16 bora, Stars itahitaji kupambana kuwa miongoni mwa timu hizo
Soka la Afrika kwa sasa limebadilika sana, neno HAIWEEZEKANI halina nafasi
Haya hapa makundi yote;
GROUP A
- Morocco
- Zambia
- Mali
- Comoros
GROUP B
- Misri
- Afrika Kusini
- Angola
- Zimbabwe
GROUP C
- Nigeria
- Tunisia
- Uganda
- Tanzania
GROUP D
- Senegal
- DR Congo
- Benin
- Botswana
GROUP E
- Algeria
- Burkina Faso
- Uquatorial Guinea
- Sudan
GROUP F
- Ivory Coast
- Cameroon
- Gabon
- Msumbji