Kocha wa zamani wa Yanga, Hans Pluijm amesema kutua katika Ligi Kuu Bara kwa majina ya nyota wa kimataifa akiwamo Jonathan Sowah na Serge Pokou katika kikosi cha Singida Black Stars kutakiimarisha kikosi hicho.
Pluijm alisema amekua akiifuatilia Ligi Kuu Bara na naamini ndani ya misimu miwili au mitatu ijayo Singida Black Stars inaweza kuwa moja ya timu tishio kutokana na uwekezaji..... download Xtra 90 App



