Kikosi cha Simba kitaelekea mkoani Tabora Jumamosi ya Februari 1 tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tabora United utakaopigwa Jumapili, Februari 02 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema tayari timu imerejea mazoezini kujiandaa na mchezo huo mgumu lakini muhimu kwa Simba kushinda ili kuzidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa..... download Xtra 90 App



