Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kufikia makubaliano ya uhamisho wa aliyekuwa mchezaji wao Selemani Mwalimu kwenda klabu ya Wydad CA ya Morocco
Mwalimu (19) aliyekuwa akiitumikia Fountain kwa mkopo, amesaini mkataba wa miaka minne kuwatumikia wababe hao wa Morocco
Singida BS haikutaja dau la mauzo ya mchezaji huyo lakini linakadiriwa kufikia Tsh Milioni 800 huku Singida BS..... download Xtra 90 App



