Mshambuliaji wa Ufaransa Mathys Tel, 19, anataka kujiunga na Manchester United lakini mazungumzo ya kufanikisha azama hiyo na Bayern Munich yametibuka kwa sasa, huku klabu hiyo ya Bundesliga ikitaka aondoke uhamisho wa kudumu. (Sky Germany)
Manchester United wanamtaka Tel, lakini mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa Christopher Nkunku, 27, ni chaguo jingine katika siku ya mwisho...... download Xtra 90 App



