International,Normal News,Barcelona, Alaves

Lewandowski aipa ushindi muhimu Barcelona

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Feb 2025
Lewandowski aipa ushindi muhimu Barcelona

Bao la Robert Lewandowski la kipindi cha pili liliihakikishia Barcelona ushindi wa 1-0 dhidi ya Deportivo Alaves Jumapili, huku wenyeji walio nafasi ya tatu wakipunguza pengo la vinara wa LaLiga Real Madrid hadi pointi nne

Huu ni shindi wa pili wa ligi kwa Barcelona katika ligi ambapo umeiwezesha kufikisha pointi 45 baada ya kucheza mechi 22, huku Alaves ikisalia nafasi ya 18 kwenye msimamo, pointi mbili chini ya mstari wa usalama

Mapema Jumamosi Real Madrid iliangukia pua kwa kuchapwa bao 1-0 na Espanyol matokeo ambayo yamewapunguza kasi licha ya kuwa mabingwa hao watetezi bado wako kileleni

"Kabla ya mchezo tulijua lazima tushinde. Tuko nyuma kwa pointi chache,” Lewandowski, mfungaji bora wa LaLiga, alisema baada ya kufunga bao lake la 18 kwenye kampeni

"Siku zote hatuwezi kushinda mabao matatu, manne au matano, wakati mwingine mechi inakuwa ngumu"

"Lakini ni soka, tulicheza kwa uvumilivu na umakini na mwisho tukafunga bao moja zaidi ya mpinzani. Tuna furaha sana."amesema.

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’