Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic amesema winga aliyesajiliwa na timu hiyo katika dirisha dogo Jonathan Ikangalombo bado anaimarisha utimamu wa mwili kabla ya kuanza kuwatumikia waajiri wake hao wapya
"Ikangalombo ni mchezaji mzuri sana, kwa muda mfupi aliokuwa hapa ameonyesha ni mchezaji ambaye atatusaidia sana"
"Hata hivyo kwa sasa bado hayuko 'fit', anafanya mazoezi..... download Xtra 90 App



