Local,Normal News,Yanga

Ramovic ataja sababu ya kutomtumia Ikangalombo Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Feb 2025
Ramovic ataja sababu ya kutomtumia Ikangalombo Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic amesema winga aliyesajiliwa na timu hiyo katika dirisha dogo Jonathan Ikangalombo bado anaimarisha utimamu wa mwili kabla ya kuanza kuwatumikia waajiri wake hao wapya

"Ikangalombo ni mchezaji mzuri sana, kwa muda mfupi aliokuwa hapa ameonyesha ni mchezaji ambaye atatusaidia sana"

"Hata hivyo kwa sasa bado hayuko 'fit', anafanya mazoezi maalum ili kuimarisha 'fitness' yake"

"Hatutaki kuharakisha kumtumia halafu tukamsababishia madhara ikiwa ni pamoja na kuumia"

"Tunahitaji awe katika kiwango cha fitness ambacho tutajiridhisha anaweza kuanza kucheza," alisema Ramovic

Ikangalombo na Isra Mwenda walitua Yanga katika usajili wa dirisha dogo. Mwenda alijiunga na Yanga mapema zaidi hivyo kupata takribani wiki nne za mazoezi kabla ya kuanza kutumika

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
47m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’