Ramovic aondoka Yanga, mrithi wake atangazwa

Joel JJ By Joel JJ β€’ 4th February 2025


Ramovic aondoka Yanga, mrithi wake atangazwa

Klabu ya Yanga imethibitisha kusitisha mkataba wa aliyekuwa Kocha Mkuu Sead Ramovic na Kocha Msaidizi kwa makubaliano ya pande mbili

Taarifa iliyotolewa na Yanga imemtangaza Miloud Hamdi kuwa Kocha Mkuu kuchukua nafasi ya Ramovic

Miloud ni kocha mwenye uzoefu mkubwa na soka la Afrika akiwahi kuinoa klabu ya USM Alger na kucheza fainali ya ligi ya mabingwa Afrika 2015-16

Kocha huyo anajiunga na Yanga akitokea klabu ya Singida Black Stars


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.