Local,Normal News,Simba, Prisons, Pamba, Fountain Gate, Dodoma

Simba yadondosha alama Manyara, Prisons, Pamba safi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Feb 2025
Simba yadondosha alama Manyara, Prisons, Pamba safi

Simba imeshindwa kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara

Lionel Ateba aliitanguliza Simba kwa bao la dakika ya 57 akimalizia pasi ya Ladark Chasambi

Hata hivyo Chasambi alijifunga dakika ya 75 baada ya mpira aliorudisha kwa mlinda lango Moussa Camara kumzidi nguvu na kujaa kimiani

Matokeo haya yameifanya Yanga isalie kileleni na alama 45 baada ya ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya KenGold hapo jana

Aidha matokeo ya mechi nyingine zilizopigwa mapema leo, Tanzania Prisons imeichapa Mashujaa Fc mabao 2-1 huku Dodoma Jiji ikikubali kipigo cha bao 1-0 nyumbani dhidi ya Pamba Jiji

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
30m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’