Simba imeshindwa kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara
Lionel Ateba aliitanguliza Simba kwa bao la dakika ya 57 akimalizia pasi ya Ladark Chasambi
Hata hivyo Chasambi alijifunga dakika ya 75 baada ya mpira aliorudisha kwa mlinda lango Moussa Camara kumzidi nguvu na..... download Xtra 90 App



