Siku ya Jana tar. 10/02/2025 majira ya saa 4 asubuhi Kikosi chetu Kilichokua safarini kutokea Ruangwa Mkoani Lindi Kuelekea Jijini Dar es salaam kilipata ajali ya gari Mkoani Lindi kwa kupinduka na kutumbukia Mtoni (Mto Matandu)
Ajali hiyo ilisababisha majeruhi kadhaa akiwemo mwalimu wa viungo Francis Mkanula mshambuliaji wetu Yassin Mgaza pamoja na Rajab ambae ni golikipa wa timu yetu ya..... download Xtra 90 App



