Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema matokeo ya suluhu ya bila kufungana katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania jana, hayawezi kuwaondoa katika mkakati wao wa kutetea ubingwa wa ligi kuu msimu huu
Akikiongoza kikosi cha Yanga kwa mara ya kwanza akiwa kwenye benchi, Hamdi alishuhudia vijana wake wakikosa ushindi kwa mara ya kwanza ugenini msimu huu ikiwa pia ndio sare ya..... download Xtra 90 App



