Mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina'a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq akimfuata Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Al Talaba.
Wazir Jr ambaye aliwahi kukipiga Yanga 2020/21, amesaini mkataba wa miezi sita kujiunga na timu hiyo iliyopo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi hiyo yenye timu 20.
Katibu Mkuu wa Dodoma Jiji, Fortunatus Johnson amesema..... download Xtra 90 App



