Juzi mashabiki wa Simba waliizima kampeni ya kumchafua kinda Ladark Chasambi kibabe wakimtuza fedha baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons
Katika mchezo huo Chasambi alifunga moja ya mabao katika ushindi wa mabao 3-0 ambao uliirejesha Simba kileleni mwa msimamo wa ligi
Baada ya kushambuliwa sana mitandaoni baada ya kujifunga katika mchezo dhidi ya Fountain Gate,..... download Xtra 90 App



