Local,Normal News,Simba

Mashabiki Simba walivyomtuza Chasambi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Feb 2025
Mashabiki Simba walivyomtuza Chasambi

Juzi mashabiki wa Simba waliizima kampeni ya kumchafua kinda Ladark Chasambi kibabe wakimtuza fedha baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Katika mchezo huo Chasambi alifunga moja ya mabao katika ushindi wa mabao 3-0 ambao uliirejesha Simba kileleni mwa msimamo wa ligi

Baada ya kushambuliwa sana mitandaoni baada ya kujifunga katika mchezo dhidi ya Fountain Gate, mshabiki wa Simba wameonyesha kumuunga mkonomchezaji huyo wakimpa thamani

Katika mpira wa miguu, makosa ni sehemu ya mchezo kwani kila mchezaji hukosea kwa nyakati tofauti

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’