Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Uwanja wa Kimataifa kujengwa Dodoma

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Feb 2025
Uwanja wa Kimataifa kujengwa Dodoma

Jana Serikali ya Tanzania ilisaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa mchezo wa mpira wa miguu jijini Dodoma na mkandarasi kampuni ya LimontaI Spa ya nchini Italia wenye thamani ya zaidi ya Sh350 bilioni.

Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili kuanzia sasa, huku ukitarajiwa kuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji zaidi ya 32,000 ambao ni mradi wa pili wa ujenzi wa viwanja vipya vilivyotangazwa na Serikali.

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi akishuhudia utiaji saini wa mkataba huo

Profesa Kabudi alisema mradi huo ni kielelezo cha kuendelea kuimarisha sekta ya michezo nchini.

Kusainiwa kwa mkataba huo kunaondoa sintofahamu ya muda mrefu ya ujenzi wa uwanja Dodoma kutokana na kukwama kwa ufadhili wa Serikali ya Morocco ambapo kwa sasa mradi huo utafadhiliwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia 100

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’