International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Jumamosi Februari 15 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Feb 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumamosi Februari 15 2025

Atletico Madrid wanatafakari uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Nicolas Jackson msimu wa joto, huku Aston Villa na Newcastle pia zikimfuatilia mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal, 23. (Sun)

Paris St-Germain wanavutiwa na beki wa Liverpool mwenye umri wa miaka 25 wa Ufaransa Ibrahima Konate, ambaye yuko tayari kuhamia Ligue 1. (ESPN)

Newcastle imeungana na Brentford na Brighton katika kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Celtic Mjerumani Nicolas Kuhn, 25. (Team Talk)

Manchester City imeungana na vinara Bayern Munich katika mbio za kumsajili kiungo mshambuliaji wa Ujerumani Florian Wirtz, 21 kutoka Bayer Leverkusen. (Football Insider)

Chelsea imefanya mawasiliano na wawakilishi wa kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Marc Casado mwenye umri wa miaka 21 kuhusu uwezekano wa kumsajili mchezaji huyo. (Cadena SER - kwa Kihispania)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
48m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’