Local,Normal News,Simba, Namungo

Simba kuifuata Namungo Fc leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Feb 2025
Simba kuifuata Namungo Fc leo

Kikosi cha Simba leo Jumatatu, Februari 17 kinaelekea wilayani Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc

Mchezo huo utapigwa Jumatano, Februari 19 katika uwanja wa Majaliwa saa 12:30 jioni

Simba itaelekea Lndi ikiwa na kikosi chake kamili kuwania alama tatu muhimu

Baada ya kukosekana kwa wiki mbili akiwa majeruhi, kiungo mshambuliaji Kibu Denis yuko fit akiwa miongoni mwa wanaosafiri Ruangwa kuikabili Namungo Fc

Wekundu hao wa Msimbazi watakuwa na kazi mbele ya Namungo ambayo haijawahi kuwa timu nyepesi mbele ya Simba inapocheza katika uwanja wa Majaliwa

Katika misimu mitatu iliyopita, Simba haikuweza kuondoka na alama tatu Ruangwa

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
30m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’