Local,Normal News,Simba

Droo ya robo fainali CAF ni leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Feb 2025
Droo ya robo fainali CAF ni leo

Droo ya mechi za robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) na kombe la Shirikisho (CAF CC) inafanyika leo huko Doha, Qatar

Wababe 16 wa soka Afrika leo ndio watawajua wapinzani wao katika mechi za robo fainali

Afrika Mashariki na Kati itawakilishwa na Simba, klabu pekee iliyoting robo fainali katika ukanda huo

Mnyama aliongoza kundi A kombe la Shirikisho, leo atamfahamu mpinzani wake kuelekea mechi ya robo fainali

Timu zilizomaliza nafasi ya pili kundi B, C na D mojawapo ndio itakayomenyana na Simba

Inaweza kuwa Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosa ya Ivory Coast au Al Masry ya Misri

Simba itaanzia ugenini mechi ya kwanza ya robo fainali na kumalizia nyumbani mechi ya pili

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
30m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’