Droo ya mechi za robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) na kombe la Shirikisho (CAF CC) inafanyika leo huko Doha, Qatar
Wababe 16 wa soka Afrika leo ndio watawajua wapinzani wao katika mechi za robo fainali
Afrika Mashariki na Kati itawakilishwa na Simba, klabu pekee iliyoting robo fainali katika ukanda huo





