Klabu ya Namungo FC imepanga kukata rufaa kuhusu kadi nyekundu ya mlinzi wao raia wa Burundi, Derrick Mukombozi, ambaye alipewa hapo jana katika mchezo wao dhidi ya Simba
Namungo ilikubali kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo ambao ulishuhudiwa matukio mengi yenye utata ikiwa ni pamoja na kadi nyekundu hiyo
Katika mahojiano na Crown Fm, Mukombozi alikanusha madai ya kumpiga mchezaji..... download Xtra 90 App



