Local,Normal News,Namungo, Simba

Namungo kukata rufaa kadi nyekundu ya Mukombozi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Feb 2025
Namungo kukata rufaa kadi nyekundu ya Mukombozi

Klabu ya Namungo FC imepanga kukata rufaa kuhusu kadi nyekundu ya mlinzi wao raia wa Burundi, Derrick Mukombozi, ambaye alipewa hapo jana katika mchezo wao dhidi ya Simba

Namungo ilikubali kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo ambao ulishuhudiwa matukio mengi yenye utata ikiwa ni pamoja na kadi nyekundu hiyo

Katika mahojiano na Crown Fm, Mukombozi alikanusha madai ya kumpiga mchezaji wa Simba (Lionel Ateba) au kumtukana mwamuzi na hakuelewa kwa nini alipewa kadi nyekudnu

"Binafsi namshukuru Mungu,ila sijui kwanini mwamuzi alinionyesha kadi nyekundu,mimi sikumtukana mtu wala sikumpiga mtu,halafu nilimuuliza refa Kama nimempiga Ateba mbona hukuweka penalty?," alihoji Mukombozi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
37m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’