Kikosi cha Simba leo kinahamishia mawindo yake katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam Fc kwenye mwendelezo wa ligi kuu ya NBC
Ni Mzizima Derby, moja ya mechi ngumu ambayo matokeo yake yanaweza kuiweka Simba katika nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa au kuvuruga hesabu ingawa bado ni mapema kwa sababu kuna mechi nyingi za kuchezwa
Hata hivyo Azam Fc ni miongoni mwa timu..... download Xtra 90 App



