Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kumuongeza Melis Medo kama kocha msaidizi na mshauri wa benchi la ufundi wa timu hiyo
Medo aliyeachana na Kagera Sugar hivi karibuni, atashirikiana na makocha Juan Magro, Muhibu Kanu chini ya kocha mkuu David Ouma
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Singida BS mapema leo, mabadiliko hayo ni muendelezo wa marekebisho kwenye benchi lao la..... download Xtra 90 App



