Local,Normal News,Yanga, Simba

Fadlu aipigia hesabu kali Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Mar 2025
Fadlu aipigia hesabu kali Yanga

Mkufunzi wa Simba Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo dhidi ya Yanga yamekamilika na wako tayari kwa mchezo huo

Akizungumza katika mkutano na wanahabari, Fadlu amesema ari na morali ya wachezaji kuelekea mchezo huo iko juu na kila mmoja 'akiutaka mchezo'

"Tumekuwa na wakati mzuri wa kujiandaa na mchezo huu. Ari ya wachezaji iko juu kila mchezaji anaonyesha utayari wa kutumika katika mchezo huo"

"Tutamkosa Mzamiru Yassin ambaye ni majeruhi, tutakuwa na vipimo vya mwisho kwa wachezaji Moussa Camara na Che Malone Fondoh kuona kama watatumika lakini wachezaji wengine wote wako tayari"

"Tunajua itakuwa mechi ngumu, ni lazima tuwe katika ubora na kuhakikisha hatufanyi makosa kuwanufaisha wapinzani wetu na pia kutumia vyema nafasi"

"Hatutabadili aina yetu ya uchezaji, tunahitaji kumiliki mchezo na kufanya pressing na kuwaheshimu wapinzani wetu wanapokuwa na mpira. Tunakwenda katika mchezo huu tukiwa bora zaidi pengine kuliko mechi zilizopita dhidi ya Yanga msimu huu"

"Kipeke, nawashukuru mashabiki wetu kwa kutusapoti msimu huu, wamekuwa msaada mkubwa kwetu, nawaahidi hio kesho wataiona timu yao ikijitoa kwa asilimia zote na kuonyesha ubora pia kucheza kwa kasi sahihi kwa muda wote wa mchezo," alisema Fadlu

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’