Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam

Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungiwa kwa muda

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Mar 2025
Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungiwa kwa muda

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na eneo la kuchezea 'pitch' kupungua ubora wake

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, uwanja huo unatakiwa kufanyiwa maboresho ya haraka ili kuepuka kufungiwa kwa muda mrefu

Mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho (CAF CC) kati ya Simba dhidi ya Al Masry umepangwa kupigwa April 09 katika uwanja huo

Hata hivyo CAF imeiagiza TFF kutuma uwanja mbadala ambao Simba inaweza kutumia katika mchezo huo ikitokea uwanja wa Mkapa hautakuwa tayari

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
35m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
47m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’