Local,Normal News,Simba

Maboresho Benjamin Mkapa yamekamilika

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Mar 2025
Maboresho Benjamin Mkapa yamekamilika

Serikali ya Tanzania imelialika Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kufanya ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kukamilika kwa maboresho

Wiki iliyopita CAF ilitangaza kuufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda ili ufanyiwe maboresho katika eneo la kuchezea 'pitch'

Baada ya tamko la CAF, Serikali ilitoa ufafanuzi kuwa CAF walifanya ukaguzi wakati uwanja huo ukiwa katika maandalizi ya kutumika katika mchezo wa ligi kuu kati ya Azam Fc dhidi ya Simba na kuwa nyasi zake zilipunguzwa kufika chini zaidi

Akizungumza katika Mkutano na waandishi wa Habari jana, Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo na Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa alisema uwanja huo uko tayar huku akiwatoa hofu mashabiki wa klabu ya Simba kuwa mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry utapigwa katika uwanja huo

"Maboresho yaliyoagizwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) yamekamilika. Tumewaalika CAF waje wafanye ukaguzi. Tuna matumaini mechi ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Al-Masry itapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa," alisemaΒ 

CAF iiagiza TFF kutafuta uwanja mwingine ambao Simba itautumia katika mchezo huo ikitokea dimba la Mkapa halitakidhi vigezo kwa mujibu wa kanuni za CAF

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
30m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’