Serikali ya Tanzania imelialika Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kufanya ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kukamilika kwa maboresho
Wiki iliyopita CAF ilitangaza kuufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda ili ufanyiwe maboresho katika eneo la kuchezea 'pitch'
Baada ya tamko la CAF, Serikali ilitoa ufafanuzi kuwa CAF walifanya ukaguzi wakati uwanja huo ukiwa katika..... download Xtra 90 App



