Klabu ya Saudia Al-Nassr inapanga kutoa ofa ya kumnunua beki wa kati wa Arsenal na Brazil Gabriel Magalhaes, 27 msimu wa joto. (GiveMeSport)
Real Madrid wataongeza dau lao la kumsajili beki Dean Huijsen mwenye umri wa miaka 19 kutoka Bournemouth msimu huu wa joto baada ya kupandishwa kwenye kikosi cha wakubwa cha Uhispania. (Sun)
Bournemouth wanaongoza katika kinyang'anyiro cha..... download Xtra 90 App



