Local,Normal News,Tanzania

Stars yakubali kichapo mbele ya Morocco

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Mar 2025
Stars yakubali kichapo mbele ya Morocco

Kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Morocco usiku wa kuamkia leo Jumatano March 26, kimevuruga hesabu za timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kufuzu kwa michuano ya kombe la Dunia 2026

Aidha, ushindi huo kwa Morocco umeifanya kuwa timu ya kwanza barani Afrika kukata tiketi ya kushiriki kombe la Dunia mwakani huko Marekani

Stars ilikuwa na kipindi cha kwanza bora ikicheza kwa tahadhari na kufanikiwa kuwadhibiti Morocco licha ya presha kubwa waaliyoweka langoni kwa Tanzania

Hata hivyo mambo hayakwenda vyema mwanzoni mwa kipindi cha pili Morocco wakifanikiwa kufunga mabao yao dakika ya 51 na 58 kupitia mkwaju wa penati

Unaweza kusema ubora wa Morocco na uzoefu wao umewapa matokeo mazuri katika mchezo huo huku Stars ikiondoka na somo jingine

Morocco imefikisha alama 15 baada ya kushinda mechi zote 5 walizocheza huku Stars ikisalia nafasi ya tatu na alama 6

Vinara wa makundi wanafuzu moja kwa moja wakati timu nyingine nne zitafuzu kupitia 'best looser'

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
43m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’