Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam Alfajiri ya Alhamis March 28 kuelekea Misri tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC) dhidi ya Al Masry utakaopigwa April 02 katika uwanja wa Suez
Akizungumza katika Mkutano na wanahabari mapema leo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema baadhi ya wachezaji ambao..... download Xtra 90 App



