Baada ya kujihakikishia tiketi ya kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Songea United, kikosi cha Yanga kinaelekeza nguvu zake kwenye ligi kuu ya NBC
Jumanne, April 01 Yanga itaondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Tabora wanakokabiliwa na mchezo dhidi ya Tabora United utakaopigwa Jumatano katika uwanja wa Ali Hassan..... download Xtra 90 App



