Kiungo wa kati wa Manchester United na Ureno Bruno Fernandes, 30, analengwa na Real Madrid kwa pauni milioni 90. (Star)
Mkurugenzi wa michezo wa Arsenal anayekuja, Andrea Berta atakuwa na kibarua cha kukamilisha dili la kiungo wa kati wa Real Sociedad na Uhispania Martin Zubimendi huku kukiwa na nia ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kutoka Real Madrid...... download Xtra 90 App



