Local,Normal News,Yanga, Tabora

Msemaji Yanga matatani Tabora

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Apr 2025
Msemaji Yanga matatani Tabora

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumshikilia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa tuhuma za kuwachafua viongozi wa Serikali

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amethibitisha kwamba, Kamwe anashikiliwa tangu Jana usiku, kwa tuhuma hizo. Abwao amesema bado Kamwe yuko kizuizini akiendelea na mahojiano juu ya tuhuma hizo ambapo taarifa zaidi zitatolewa baadaye

Kamwe alikamatwa jana baada ya mchezo kati ya Tabora United dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-0

Kuelekea mchezo huo kuliibuka kupishana kauli kati yake na Mh. Paul Matiko Chacha Mkuu wa Mkoa Tabora. Hata hivyo wawili hao walionekana kusalimiana na kufurahi pamoja kabla ya mchezo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’